Mwaka 2007 alikuwa Flaviana Matata,2008 alikuwa Amanda Ole Sululu,Mwaka 2009 alikuwa Illuminata James,zamu ikawa kwa Hellen Dausen mwaka 2010.
Mwaka 2011 ilikuwa bahati ya Nelly Kamwelu kutoka Dar es Salaam.
Nani kuvikwa taji la Miss Universe baada ya Nelly Kamwelu
?