hivi ndio viwanja vya Eden Project ndani ya mji wa Cornwall ambapo ufunguzi wa OLIMPIKI 2012 utakapofanyika


Mshikilia mwenge wa olimpiki Lucy Gale akaiwa ameushika mwenge huo ukiwaka katika maporomoko ya Aysgarth Falls


Giant Olympic Rings at Heathrow to welcome visitors to London 2012


Mshika Mwenge Wa Olimpiki David State akiwa amapiga magoti kumvalisha mchumba wake pete

Danny Boyle na volunteers wakiwa wanaonyesha jinsi sherehe ya kufungua Olimpki itakavyo kuwa

Wanafuzi wa shule mbalimbali kutokea uingereza wakiwa wamechaguliwa kushika bendera na kuwa sindikiza wachezaji uwanjani.

Mshiriki wa Olimpki wa mchezo wa baiskeli BMX Track akiwa anafanya mazowezi kwa kujianda na Olympki kwa siku chache zilizo bakia