Mwangalie legend wa Formula 1 David Coulthard na Mchezaji Golf wa kimataifa Jake Shepherd wakiwa wanaweka Rekodi mpya ya dunia, kwa kupiga mpira wa golf kwa umbali mrefu sana na kudakwa na Gari ambalo lipo kwenye mwendo mkali, Aina ya gari ni Mercedes–Benz SLS AMG Roadster. ambapo gari hilo lilo kuwa linaendeshwa na David Coulthard naaliweza kuudaka mpira huo kwa umbali wa mita 275 kutokea ulipo pigiwa mpra huo.