TONY PARKER mchezaji wa San Antonio Spurs

W.I.P nightclub wamesikitika kusikia Mchazaji nyota wa Basketi Tony Parker kuwashitaki kwa sababu ya ugomvi dhidi ya drake na chriss Brown, walisema kuwa hawakuweza kufikiria au kutabiri kuwa kungekuwa na ugomvi kati ya Drake and Chriss Brown.
Parker amfungua kesi ya dola milioni 20 dhidi ya club hiyo alhamisi wiki hii, kwa madai kuwa club walikuwa wanajua “kuwa kulikuwa na beef kati ya Drake na Chris Brown” walichochea ugomvi huo kwa kuwauzia na kuwa uzia Pombe.
Lakini vyazo vya club hiyo viliwaambia TMZ kuwa Drake na Chris sio watu wakukabiliana na ugomvi wa aina hiyo. Na chanzo kingine kinasema kuwa Drake na Chris sio Wakina Tupac na Biggie
Vyazo hivyo vilisema kuwa waliwaambia ungozi wa Club kuwa ugomvi huo ni mkubwa na ni vigumu kuuzuia, lakini club hiyo ilijitahidi na kufanya kila njia kuuzuia ugomvi huo haraka iwezekanavyo.
Vyazo hivyo vinasema kuwa Club hiiyo imekuja kugundua kuwa Tony amewashitaki kwa madai kuwa na ungozi wa kipuzi, waliendelea kusema kuwa club hiyo ilikuwa na walinzi 15 waliokuwa wanafanya kazi usiku huo, na wamiliki wenyewe walichagua nani aingie club na nani asiingie ndani.
Hadi sasa hukuna mashtaka yoyote yaliofunguliwa kwa ajili ya ugomvi huo, lakini kesi bado ipo POlisi kwa uchunguzi zaidi