Warembo waliotinga kumi bora katika picha ya pamoja.


Tano bora ya Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2012 katika pozi.


Mrembo wa Miss Dar Indian Ocean 2011 Stella Robert akisubiri kukabidhi taji kwa mshindi wa mwaka huu.

Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2012 Diana Hussein katika pozi.

Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2012 Diana Hussein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili Kudra Lupatu (kulia) na Mshindi wa tatu Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam.


Redd’s Miss Dar Indian Ocean 2012 Diana Hussein (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Top Five.