Raisi Jakaya Kikwete akiangalia ubora wa matofali Bagamoyo.

Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa kufyatua matofali yanayotengenezwa kwa mashine za hydrafoam kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya Mboga, wilayani Bagamoyo, mashine hiyo yenye thamani ya shilingi millioni sabini (70m/-) imetolewa na Rais Jakaya Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda ushirika ili kuboresha maisha yao kwa kufanya miradi mbalimbali ya ujenzi na uzalishaji.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)