Spain ya zidi kuonyesha ubora wake baada ya kuitandika ufaransa 2-0, na hatimaye kufanikiwa kuingia kwenye nusu fainali za kombe la ulaya. ambapo magoli yote hayo ya lifungwa na Xabi Alonso, ambapo goli la kwanza alifunga dakika ya 19′ na goli la pili alifunga dakika ya 90+1