kiwa ni Twiga pekee katika eneo la Kilimanjaro Golf and Wildlife Estate, Tanzania. Alipewa jina la Monduli miaka mitatu iliopita alipowasili katika club hiyo na sasa ana miaka mitatu na nusu.
Mkurugenzi wa estate hiyo, Zummi Cardoso amesema Monduli ana urefu wa ft 13(4m) na anatarajiwa kufikia ft 18 atakapofikisha miaka sita.
Monduli aliingia katika bwawa la kuogelea na kuweka kichwa juu, kitu kisichoshangaza sana kutokana na urefu wa twiga.

source:dailymail