Allan Chonjo Brand Manager wa Serengeti ambao ndo wa zamini wakuu wa Fiesta

Allan,Sebastian,Benja

Baadhi ya wasanii nao walikuwepo Mwasiti,Madee,Amini na rafiki yao


haya ndo magari ambayo yatashindaniwa

hayo ndo magari pamoja na pikipiki yatakayo shindaniwa

Linex alikuwa katulia anafuatilia

Millard na Barbra ndo walikuwa wakiongoza uzinduzi huo wa Fiesta 201

mikoko hiyo mshindwe wenyewe

Mr,Rugabo kampeni meneja wa Push Mobile akiwa na Barbra Hasan akionyesha jinsi ya kushiriki na ushinde haya magari na pikipiki

Mr.Rugabo,Allan,Sebastian,Mr.Benja wa gapco

smile!!!!!

Sebastian Maganga Meneja wa vipindi Clouds Akieleza Fiesta itakavyo kuwa

Shafih Dauda na Sade wakifuatilia

Ruben Ndege nae alikuwepo

source:bongo5