50 cent alipata ajali mbaya sana, usiku wa kuamkia Jumatano baada ya gari lake aina SUV ambayo ni “bullet proof” kugongwa na lori kubwa upande wa nyuma wa gari yake hiyo. Na badae kukimbizwa hospitali ya Queens, kwa uchunguzi wa mwili zaidi, hasa hasa mgongo na Shingo. Hata hivyo dereva wake pia amalezwa kutokana na kugongwa na lori hilo

source:thisis50