huyu ndiye mshindi wa Miss Universe Tanzania 2012 Winfrida Dominic

 

Winfrida Dominic (katikati) alipokuwa amevishwa taji la Miss Universe Tanzania 2012 kushoto ni Bahati Chando ambaye alishinda nafasi ya pili, na kulia ni Dorice Mollel alishinda nafasi ya tatu .lakini warembo wote walioingia Top 5 walipata nafasi ya kupeperusha bendera ya Taifa, katika mashindano mengine mengi yakiwemo Miss Earth, Miss Universe, Miss Queen International.

photosource:M.P