Mtanzania Hasheem Thabeet anaecheza mpira wa kikapu nchini Marekani amehamia timu ya Oklahoma City Thunder “OKC” toka Portland Trail Blazers kwa mkataba wa miaka miwili na inasemekana atakuwa akilipwa wastani wa dola 880,000 kwa mwaka