Muimbaji Francia aja tena na kibao kipya matata kabisa kiitwacho ‘Hayana mwisho’.
Wimbo umeandikwa na kuimbwa na Francia mwenyewe, producer wa wimbo ni Kili award producer of the year Maneke from AM studios.
Music video imetengenezwa na Like brothers kutoka UK.
You can get Francia’s music/album from the links below