Wema akiandaliwa na mpambe wake Snura Backstage

Pambano limeanza, ni Wema dhidi ya Jackline wolper

Wema akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wake rashid Matumla

Wolper na kocha wake Rashid Matumla wakijiandaa kuingia uwanjani

Baada ya pambano ilikuwa ni amani kati yao

source:.bongo5