Mchezaji wa zamani wa klabu ya Juventus Daniel Fonseca amaeitaka klabu hiyo yenye maskani yake katika Jiji la Turin kufukuzia saini ya Nyota wa kutoka nchini Uruguay anayechezea klabu ya Liverpool ya Uingereza, Luisi Suarez.
Edison Cavani alikuwa kwenye mahesabu ya kutakiwa na kibibi kizee cha Turin lakini Mtandao wa Goal.com umeweka bayana kuwa hatakiwa na klabu hiyo.
Fonseca amesema

“Suarez is more powerful and killer than Cavani. Both are confirming as two great strikers in last years. Everyone should sign. Juventus will be a good choice,” Fonseca told Tuttosport.

“Suarez and Cavani would be easy to fit in the Juve system, they are dynamic and with a great feeling with goal. I see better Suarez in Juve lineup. There isn’t a 20 million euro gap between their price.

“If I was a Juve director, I would choice one between Suarez and Cavani. Uruguayan players are always very competitive in Italy and we don’t fear to wear a great team shirt.

“It’s not easy to get Cavani

Itakumbukwa kwamba Suarez alijiunga na Liverpool kwa paundi milioni 22 January 2010  kwa mkataba hadi Juni 2016.