Leo jioni katika channel 5 H-baba Amefunguka na kusema Irene si lolote na alimwacha kwa sababu alitoa mimba zake mbili na pia alikuwa akitaka afanyiwe vitu ambavyo ni kinyume na dini yake…

source:bongoflavortz