Warembo wanaowania taji la Redd’s Miss Pwani wakiwa katika pozi la picha katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Apaikunda,iliyopo Kibaha maili moja.Warembo hawa usiku wa leo wanaingia katika kinyang’anyiro hicho kitakachofanyika kwenye ukumbi wa hoteli hiyo.