Marehemu Patrin Kibelloh aliefariki ghafla siku ya Jumanne July10, 2012. amezikwa Ijumaa July13 kwenye makaburi ya Gardner, West Roxbury, Massachusset Nchini Marekani.

Baadhi ya ndugu na marafiki waliohudhuria katika msiba huko nyumbani kwake Saugus, Boston Massachusset.

Marehemu Patrin Kibelloh amepata mafunzo katika Institute proffesional & Restaurant mjini Boario nchini ITALY alizaliwa April 25,1963 huko Tanzania ameacha mke wa Watoto wawili akiwa na umri wa miaka 49. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)