Habari hii nimeipata kwanye blog ya Diamond ambayo nimeinuku kama ilivyo

Haya ndiyo yalikuwa mazungumzo yangu ya mwisho na Dullah baada ya mtoto wake kuzaliwa….

Dulla wa Planet Bongo
              Dullah:      NiaaajE! Nimepata mtoto wa kiume NOW
              Diamond:  Duh! hongera sana ndugu yangu..
              Dullah:       Poa poa kakaa! shukran.
Hayo ndiyo yalikuwa mazungumzo yetu jana saa sita na dakika 21 ya mchana
Mtoto alikuwa amepewa jina la Adili,na amepatwa na umauti leo mchana akiwa bado yupo Hospital
”Nakupa pole sana ndugu yangu Dullah”

source:.thisisdiamond.