Home

Cars

Top 12 ya magari ya Gharama kuliko yote dunia kwa mwaka 2012
1. Maybach Exelero: $8,000,000

Price: $8 million
Country of Origin: Germany
Engine: V12 twin turbo
0-60 mph: 4.4 seconds


2. Bugatti Veyron Supersport: $2,600,000

Price: $2.6 million
Country of Origin: France
Engine: 16-cylindars, 1,200hp
0-60 mph: 2.4 seconds

3. Ferrari 599XX: $2,000,000

Price: $2 million
Country of Origin: Italy
Engine: 700hp V12
0-60 mph: 2.9 seconds

4. Zenvo ST1: $1,800,000

Price: $1.8 million
Country of Origin: Denmark
Engine: 1,250hp V8
0-60 mph: 2.9 seconds

5. Koenigsegg Agera R: $1,711,000

Price: $1.7 million
Country of Origin: Sweden
Engine: 1,115hp, 5.0-liter V8
0-60 mph: 2.9 seconds

6. Lamborghini Reventon $1,600,000

Price: $1.6 million
Country of Origin: Italy
Engine: 6.5 L (400 cu in) V12
0-60 mph: 2.9 seconds

7. Aston Martin One-77: $1,400,000

Price: $1.4 million
Country of Origin: United Kingdom
Engine: 750hp, 7.3-liter V12
0-60 mph: 3.7 seconds

8. Maybach Landaulet: $1,400,000

Price: $1.4 million
Country of Origin: Germany
Engine: 620hp 12-cylindar
0-60 mph: 5.2 seconds

9. Pagani Huayra: $1,300,000

Price: $1.3 million
Country of Origin: Italy
Engine: 700hp Mercedes-Benz-made V12
0-60 mph: 3.5 seconds

10. Hennessey Venom GT: $1,000,000

Price: $1 million (1,200hp edition)
Country of Origin: United States
Engine: 6.2-liter supercharged V8
0-60 mph: 2.5 seconds


11. SSC Tuatara: $970,000

Price: $970,000 (estimated)
Country of Origin: United States
Engine: 1,350hp 6.8-liter V8
0-60 mph: 2.5 seconds

12. Porsche 918 Spyder: $845,000

Price: $845,000
Country of Origin: Germany
Engine: 500hp 3.4-liter V8 with three electric motors delivering 218hp
0-60 mph: 3.1 seconds

**********************************************************************************************************************************************************************************************
Mr Bean ni Celebrity anayeendesha Gari Gharama kuliko!!

source:infographichub

Wachezaji 11 Maarufu na Magari wanayoendesha

Mwanasoka kutokea kameruni Sumuel Eto’o ambaye kwa sasa anachezea timu Anzhi Makhachkal FC ya Urusi ambayo analipwa Euro milioni 23.3. Anaendesha gari aina ya Bugatti Veyron. Yenye thamani ya dola milioni 2.6

David Beckham (Porsche 911 Turbo Cabriolet)

Mchezaji wa zamani wa real MADRID David Beckham ambaye pia nimchezaji wa zamani wa Los Angeles Galaxy. Anaendesha Porsche 911 Turbo Cabriolet. Ambayo inathamani ya dola laki 1 na 40 ambayo alienda kumpokea nayo mkewe kwenye kiwanja cha cha ndege los Angeles inasemekana gari hiyo kwa sasa ameshaiuza na kuhamia gari nyingine ambayo bado hawakuitaja ni ipi ?

Wayne Rooney (Lamborghini LP640 Murcielago)

Mchezaji wa Man U anaendesha gari aina ya Lamborghini LP640 Murcielago. Yenye thamani ya dola laki 3.4
Thierry Henry (Aston Martin Vanquish)

Stika wazamani wa kifaransa Thierry Henry anaendesha gari aina Aston Martin Vanquish ambayo mwaka 2007 ilikuwa ni chaguo la gari ya movie James Bond “Die Another Day” yenye thamani ya dola Laki 3.5

Cristiano Ronaldo (Audi R8)

Mwanasoka mwenye mafanikio mengi ambaye alikuwa anachezea Man U na sasa anachezea Real Madrid, anaendesha gari aina Audi R8 yenye thamani ya dola laki 2

Alessandro Del Piero (Fiat 500)

Mwanasoka wa italia Del Piero anaye endesha gari aina ya FIAT 500 yenye thamani yake inaanzia dola elfu $16,122 – $23,073 The “cinquecento” first made its name as a cheap and cheerful model for post-war Europe.

John Terry (Bentley Continental GT)

Kaptaini wa zamani wa Uingereza na mchezaji wa Chelsea John Terry anaendesha gari aina ya Bentley yenye thamani ya dola laki 1.8.

Didier Drogba (Mercedes SL65)

Ambaye alifanya timu yake ya zamani ya Chelsea kuchukua ubigwa wa Champion League mwaka huu zidi ya Bayern Munich anaendesha gari aina ya Mercedes SL65 ya silva yenye thamani ya dola laki 2, ambayo ina injini ya V12 yenye horse power ya 604 inayokimbia 60mph kwa sekunde 4.2

Rio Ferdinand (Bentley Arnage)

Mchezaji wa Man ambaye ashaingia mikasa mingi akiwa anaendesha gari. Gari analoendesha ni Bentley Arnage ambayo imebatizwa kwa jina la Straw berry Yogurt baada yakuinunua mwaka 2005 yenye thamani ya $211,990

Sol Campbell (BMW X5)

Ambaye alikuwa Benki wa Uingereza anaendesha gari aina ya BMW X5 yenye thamani ya dola $55,000

David James (Chrysler 300C)

Ni goli kipa wa uingereza ambaye anaendesha gari aina ya Chrysler 300c ambaye alitumia dola 4000 kwa ajili ya gari yake kutumia nishati ya mimea . gari yake inathamani ya dola $42170

Magari wanayo endesha matajiri wakubwa duniani.


CARLOS SLIM HELU ni tajiri wa kwanza duniani kutoka kwenye Forbes,. Ni mexico anayemiliki mitandao ya simu anaenesha gari aina ya BENTLEY CONTINENTAL FLYING SPUR yenye thamani ya dola laki 3

Bill Gates nitajiri wapili duniani anaendesha gari aina ya PORSCHE 959 COUPE ambayo n magari 230 yaliyopo duniani kote. Ili bidi raisi Bill Clinton kasaini mkataba wakumruhusu tajiri huyo kuendesha gari hilo ambalo halikujaribu kwenye testini ya majaribio kama linafaa kuendeshwa. Kipindi alipo linunua lili kuwa lina mgharimu dola laki 2 na 25 elfu lakini sasa lina thamani ya dola laki nne

Tajiri mwingine ni Alice Walton ambaye ni mrithi wa supermarket kubwa marekani inaitwa WaL-Mart, ni tajiri wapili kwa upande wa wanawake duniani. Lakini gari anayoipenda ni ford ya mwaka 2006 inayoiytwa FORD F-150 King Ranch. Imnauzwa kwa bei za kawaida dola elfu 40.

Ingvard Kamprad ni mwanzilishi wa kampuni ya IKEA yenye thamani ya dola Bilion 28. Gari analoliendesha ni Volvo 240 ya mwaka 1993. Na kama ataliuza gari hilo litakuwa na thamani ya dola $1500Meya wa New York’s bwana Michael Bloomberg anaye endesha gari aina ya Audu R8. Ambayo show window inauzwa dola laki 1 na 20 elfu, nakimbia speed 60mph kwa sekunde 3.2

Bilionea Larry Ellison, mwanzilishi wa Oracle , ni maarufu kwa magari yake mengi. Katika magari yote anayoyafili ni McLaren F1. Mwaka 1998 ni gari lililotajwa kuwa ni gari linalokimbia mno barabarani. Uzalishaji wa magari hayo ulisimamishwa maka huo huo na wakitaka kuya chuku kwa kila moja lina thamani ya dola milioni 4.1

Warren Buffett ni mmoja wa matajiri wakubwa mno duniani, yeye ni muwekezaji na mjasiriamali mkubwa nchini marekani. Anaendesha gari aina ya CADILLAC DTS, ambapo ununuaji waki wagari hilo iliisaidia kujanyua kampuni ya GENERAL MOTOR ambayo ilikuwa inaanguka. Gari hilo kwenye maduka ya magari lina thamani ya dola elfu 45

Mark Zuckerberg ni tajiri kijana duniania ambaye ni mmiliki wa facebook, na mwanzilishi wa facebook anaendesha gari la aina BLACK ACURA TSX. Yenye thamani ya dola elfu 30 tu.

Tajiri mwingine nitajiri mwenye kampuni ya Computer ya Dell, Michael DELL ambaye anaendesha gari aina ya PORSCHE BOXTER ya mwaka 2004. Ambalo model mpya yake inathamani ya dola elfu 80. Naunaweza kununua gari hili likiwa limetumika chini ya dola elfu 20

Steve Ballmer mmoja kati ya matajiri wakubwa mno dunia. Ambaye yupo ndani ya Microsoft. Ambaye anaendesha gari ya kampuni ya ford HYBRID FUSION. Gari lenye thamani ya dola elfu 19 kwenye maduka ya magari

Mwanzilishi wa NIKE Phil Knight anaendesha gari Aina ya AUDI R8 yenye thamani ya dola laki 1 na 20 elfu, aliepata aina ya black model yenye mapanga ya silva pembeni.

Tajiri mwingine ambaye ni mrithi wangu za Pinault Francois Henri Pinaul anayeshea gari lake na mke wake mzuri Salma Hayek ambayo ni Lexus SUV , ambayo ikiwa mpya inathamani ya dola elfu 40 bila kuipimp, au kuiongeze vitu vingine

LAURENE POWELL JOBS ni mjani wa aliyekuwa muwanzilishi wa kampuni ya apple Steve Job. Ambaye anaendesha gari aina ya Audi A5 ambayo ilikuwa imepaki nyumbani kwake Palo Alto. Ambayo thamani ya gari hilo inaanzia dolsa elfu 37,

Google tycoon Eric Scmidt ndio anayeendesha gari la wastani kuliko wote ambalo ni Toyota Prius. Ambayo haiharibu mazingira “environmental friendly” thamani yake inaanzia dola elfu 11

TOP 10 YA MAGARI YA GHARAMA KUBWA KULIKO DUNIANI MWAKA 2012
1. Bugatti Veyron Supersport:

1. Bugatti Veyron Supersport:

Bugatti Veyron


Ni gari lenye spidi kali kuliko yote duniani, na ndio gari la gharama kuliko yote duniani. nini cha zaidi unacho taka kujua?? ni gari lenye mvuto wa kipekee yenye thamani ya $2.6 milioni za kimarekani ambazo ni sawa sawa na bilioni 5.11 za kitazania, Bugatti Veyron Supersport ni hakika Bugatti, jaribu kitanda kabisa, ni jinsi gani hawa VW engineers walivyo sukuma kutangaza, na kuweka horse power ya 1200 kutoka quad-turbo 8.0 lita W16 engine na imetengenezwa kwa aerodynamics ambayo inasidia kufika spidi 267.81 mph. ukiongezea kutofautiana na magari mengine ya hypercars, veyron itakuwa uluxury mkubwa kupita wakifahari

2. Ferrari 599XX:

Ferrari-599XX

599XX


chukulia Ferrari 599 na ibadilishe kwenye supercar tu na utajikuta una 599xx. inanguvu ya horse power ya 700
na ni version ya V12 engine ( hakuna turbo or supercharges hapa mazee) na unaweza kukanyaga accelerator mpaka 60mph ndani ya sekunde 2.9 . fuatilia Ferrari FXX, ilijengwa kwa ucheche maalumu na kuchaguliwa upendeleo wa Ferrari kwa wamiliki wa ferrari ambao walialika kuendesha mashine zao kweny exclusive track events. mjadala uliopo hapa nikuwa lina muonekana mzuri na lina nguruma vizuri, Ferrari bado hawajatangaza bei, lakini umbea ulio nikuwa zaidi ya $2 milioni ambayo ni sawa na bilioni 3.92 za kitanzania.

3. Zenvo ST1:

Zenvo-ST1

Zenvo


nini? kutoka wapi? ndio , ni Zenvo ST1 na inatokea Dernmark. sasa wa denimaki wanaweza kutengeneza super car kwenye list wanayo ijua wao , inakuwa pamoja na Carlsberg beer na Hans Christian Andersen stori, inanguvu ya turbocharged na supercharged kw Lita 7 V8 engine, ina horse power ya 1250. inathamani $1.8 million ambayo ni sawa sawa na bilion 3.54 za kitanzania , inakuja na saa ya bure yenye thamani ya $50,000 ambayo ni sawa sawa na milioni 98.2

4. Koenigsegg Agera R:

Koenigsegg-Agera-R

Agera-R


Ina Twin-turbo inatumia nguvu ya lita 5 V8, Agera R ni gari la kiswedeni supercar utengenezaji wa koenigsegg una nguvu ya horse power 115 inatumia E85 ethanol. inathamani ya $1.5 milioni kwa ni kawaida ya Agera, kama unataka yenye R badge ita kugharimu hela nyingine $211,000 ambayo ni sawa na milioni 330 ya kitanzania
It might not be the world’s fastest car (in terms of top speed), but Koenigsegg claims the best 0-200 mph time of 17.68 seconds.

5. Aston Martin One-77

Aston Martin One

Aston


Ni moja ya gari iliopo duniani iliyona Full carbon-chasis gari na hukuna reaso ya kuwa Aston Martin one 77 ni gari yenye staili ya maifizo kwa kivingine. Ni mpya katika Flagship mashine gari inayotoke katika legendary sport car mtengenezaji in nguvu ya kutumia lita 7.3 V12 engine yenye horse power 750. vile vile inanyongeza ya utofauti wa pushrod suspension setup, kama zile zinazo tumika kwenye magari ya mashindano ya formular 1. ina thamani ya 1,4 milioni, imetengenezwa kunyanyua jina .

6. Maybach Landaulet,

Maybach Landaulet

Maybach


inauzwa $1.4 million ambayo ni sawa sawa na bilioni 2.7 , Maybach Landaulet uwezekano wakubargaini upo. sababu ni kutoka na uchache wake na maamuzi ya liyo fanywa na Mercedes-Benz na ni super-luxury brand, ni moja ya classic na future pebble beach hadimu
ipo katia uendelezo 62S medeli, landaulet in nguvu ya twin trbo V12 engine imetengenezwa kwa horse power 543. lakini inatengeneza uhalisia wenye cplor coded cabin iliyogawanyika na dereva na eneo la abiria vile vile ni adimu kubatikana

7. Pagani Huayra:

Pagani Huayra

Pagani


inajulikana nigari isiyo takamkika, inaonekana kama kambale, huayra ni gari ya pili ya aina ya supercar ilijengwa na Pagani. nimrithi wa Zonda (ni moja ya magari ya nayo pendeza kuliko magari yote) huayra ni gari yenye nguvu ya horse power 700 ina twin turbo na inauwezo wakufikia spidi 230 mph
Ultra exclusive, Pagani ilitengeneza 12 zondas kwa Mwaka, hata hivyo Huayra imezalishwa kwa ajili ya kuwa gari kwanza Pagani ambayo itauzwa marekani tu thamani yake ni $1.3 milioni, ambayo ni sawa na bilioni 2.55

8. Hennessey Venom GT:8.

Hennessey Venom G

Venom G


inajulikana kwa kuwa twin turbo Dodge Vipers and other High-performance machines, Venom GT ni gari ya kwanza kuundwa na Hennessey Performance. lakini inawezekana ikaongezwa, urefu wa chassis iliyotolewa kwa Lotus Elise platform. nigari yenye nguvu yenye super charge nguvu yake inatumia 6.2 lita kwa kukanyaga accelarator, ni GM-Sourced V8 engini ina nguvu ya horse power ya 1200 inathamani ya $1 milioni ambayo ni sawa na bilioni 1.94.

9. SSC Tuatara:

SSC-Tuatara

Tuatara


nigari lilichukuwa urithi kutoka Ultimate Aero, moja ya kati ya magari ya spidi kali ya mwanzoni, gari hili lina thamani $970,000 ya dola za kimarekani ambayo ni sawa na bilioni 1.90 hii modeli inatarajiwa kutoka mwaka huu, inauwezo wakutumia lita 7 na ina twin turbo V8 na ina horse power hp ya 1,350. uzito wa 2654, inasemekana inakimbia 60 mp kwa sekunde na naina speed ya 275 mph. ingetakiwa iwekwe kwenye top speed record holder, kama bugatti veyron super sport, ambayo inaonekana kwenye list hiyo

10. Porsche 918 Spyder:

Porsche 918 Spyder

Spyder


yenye thamani ya US $845,000 ni sawa sawa na bilion 1.32 ya kitanzania, inachukuwa nafasi ya Kumi katika magari ya gharama mwaka 2012

1 Comment (+add yours?)

  1. picamilon
    Jun 13, 2012 @ 06:37:34

    Greeting from over the ocean. precise article I will return for more.

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: