Home

TV Shows

The Vampire Diaries
The Vampire Diaries ni storia iliyotokea kwenye milolongo wa vitabu vilivyoandikwa L.J.Smith, ambayo unaonyesha nini kilichopo kwenye Diary ya msichana mwenye umri wa miaka 17 Elena Gilbert (Nina Dobrey). Na mdogo wakiume mwenye umri wa miaka 15 Jeremy (Steven R. McQueen) ambao walikuwa wanaishi na Aunt yao Jenna (Sara Canning). Elena anatafuta faraja kwa marafiki zake kama Bonnie (Katerina Graham), Frenemy Caroline Forbes (Candice Accola) na Former boyfriend Matt Donovan (Zach Roerig, Friday Night Lights), At Mystic Falls high, Elena na anakuja kujikuta anamzimia mwanafunzi mpya wa ajabu, Stefan Slavatore (Paul Wesley, “Fallen”). Stefan and Damon (Ian SomerHalder, Lost) ni vampire Brothers amao mmoja ni mzuri na mmoja ni mbaya katika roho ya Elena. The vampire Diaries inatokea kwa kampuni ya Alloy Entertainment na Bonanza Productions Inc. inayoshirikiana na Warner Bros, Television na CBS Television Studios.
Mpaka sasa Vampire Diaries ina Season 3 (misimu itatu ya milolongo ya vipande 22 kwa lila msimu) . kwasasa vampire diaries ishamaliza Season 3 ambayo kipande cha 22 kimeishia , Elena na Matt wa medumbikia ndani ya maji baada ya Rebecca, kusababisha ajaili hiyo, Inaonekana Kuwa Elena alikuwa na ugonjwa wa mtisiko wakichwani ikabidi Dk amewekee damu ya vampire, wakati Elena anaziduka hatujui kuwa amekuwa vampire au la, subiria season ya 4 ya VD

1 Comment (+add yours?)

  1. d3 gold
    Jun 13, 2012 @ 06:24:27

    Hi, i feel that i noticed you visited my blog thus i came to “return the choose”.I’m attempting to find issues to enhance my site!I assume its good enough to make use of a few of your ideas!!

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: