Home

Home

NEW MUSIC: QUINCY F/ KENDRE – ‘STAY AWHILE’

QUINCY

nyimbo mpya ya Quincy FEAT Kendre “STAY AWHILE”

Quincy kijana mwenye umri wa miaka 20 ambaye ni mwanamuziki na actor, ambaye ni mtoto wa Kim Porter and AlB. ameaku kwenda hatua nyingine ya kushikilia Mic kwa ajili ya Wanawake. kiukweli amekulia kwenye mikono ya P.diddy “Dirty Money” ambaye aliamua kuiachia video mpya Inayoitwa “Stay Awhile” kwenye kipindi cha 106&Park alhamisi””nyimbo hiyo inahusu mapenzi yavijana, imemlenga kumwambia ni mpenzi wa maisha yake, kukaa kwa mda alisema” Quincy na nuku ““It’s a young love story, basically telling a girl, the love of your life, to stay a while,” said Quincy, Quincy alianza kama Rapa, hakuna mtu anapenda kumuna mpenzi wake anatembea mbali na wewe, hata kama anaenda kwenye kazi au anakuwacha kwa mazuri, mimi na mwambia abakie kwa muda , ili nikae chini nitafakari ili ni muelezi jinsi ninavyo mfeel.

sasa hivi yupo studio kwa ajili ya album yake ambayo itakuwa na ladha za R&B na Dance. alisema kiukweli nikokwenye wakati mgumu lakini napenda changamoto, na nuku “It’s definitely a lot of pressure, but I like a challenge,” Quincy alisema hivyo.

chanzo cha habari nikutoka.

Rap-Up

1 Comment (+add yours?)

  1. d3 gold
    Jun 13, 2012 @ 07:18:24

    Hey, I just stopped in to visit your blog and thought I’d say thank you.

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: