Home

RAIS WA ZAMANI WA MISRI HOSNI MUBARAK AREJESHWA GEREZANI.

Leave a commentRais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak amerejeshwa gerezani baada ya kupata matibabu hospitalini.
Mwendesha mashitaka wa umma nchini humo ameamuru kuwa afya ya Mubarak mwenye umri wa miaka 84 imeimarika na kwamba hapaswi tena kuendelea kuwa katika hospitali ya kijeshi.
Mubarak anatumikia kifungo cha maisha gerezani kutokana na mauaji ya waandamanaji wakati wa wimbi la mageuzi katika ulimwengu wa kiarabu ambalo lilianza mwezi wa Januari mwaka wa 2011.
Hosni Mubarak aliondolewa madarakani wakati wa vuguvugu hilo la umma na kuumaliza utawala wake wa miaka 30 nchini Misri.

AU to form army against Congo rebels

Leave a comment


The African Union has suggested a move to form another army to DR Congo and put an end to the assault on the Kinshasa government by rebels. The statements were made yesterday morning at the opening of the 19th ordinary summit of heads of state and government by the AU commission chairman, Dr Jean Ping, days after a document was signed by the foreign ministers of scores of African states in the Great Lakes region.
A soldier from the FARDC (L) with a UN peacekeeper on Goma- Rutshuru road in North Kivu Province recently. The AU has pledged to fight M23 rebels in the area. PHOTO BY AFP
The DR Congo and its neighbour Rwanda also signed the document which proposed an internationally-backed military response to the offensive by the rebels in the North Kivu Province.
The document condemned the rebels’ advances and a rebellion by the primarily Hutu fighters of the FDLR insurgent group, most of them refugees who are accused of orchestrating the 1994 Rwandan genocide.
“The AU is ready to contribute to a regional force to put to an end crisis in the DR Congo and Mali,” Dr Ping said. Human rights reports have accused Rwanda of supporting and backing the M23 rebels in the DRC hence straining the relations between the two countries.
The UN Deputy Secretary General, Mr Jan Eliasson, also pledged UN’s support to the cause in ending assaults in DR Congo, Mali, Sudan and also Uganda’s Joseph Kony whom he said remains ‘extremely dangerous’ .
Uncertainty
It is, however not clear where the troops will come from to establish the neutral international force that would take on the Congolese rebel groups since only Uganda and Burundi first agreed to contribute to Amisom until recently when the Kenyan government also weighed in on pressures from the al-shabbaab to enter Somalia capital Mogadishu.

source:Daily Monitor

Waasi wa Congo washambuliwa na UN.

Leave a comment


Kiongozi wa M23

Ndege za kivita za umoja wa mataifa, zimewafyatulia risasi waasi mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Afisa mmoja wa umoja wa mataifa amesema shambulio hilo dhidi ya waasi wa M23 limetokea kaskazini mwa Goma karibu na mpaka wa nchi hiyo na Rwanda. Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa imeishutumu Rwanda kwa kusaidia waasi wa kundi la M23 hali inayovuruga amani katika eneo hilo.
Hata hivyo Rwanda imeendelea kukana kuhusika katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo, ikisema mgogoro huo ni matatizo ya ndani ya Congo ambayo yameshindwa kutatuliwa. Akizungumza katika kipindi cha mahojiano cha BBC, Hard Talk, Rais Paul Kagame wa Rwanda, amesema taifa lake halihusuki na matatizo ya Congo. “hatuhusiki kwa vyovyote na vuguvugu la M23 hatuwasaidii wala kuwafadhili na wala hatuna nia ya kufanya hivyo kwa sababu hatujui wanapigania nini wala wanatetea nini.Kile tunachojua, uhusiano wetu na Congo ulikuwa mzuri sana kabala ya haya kutokea” Alisema Kagame. Waandishi wa habari wanasema sio jambo la kawaida kwa kikosi hicho cha umoja wa mataifa kufanya mashambulio.Wiki iliyopita waasi hao walivamia kituo kimoja cha Umoja wa Mataifa na kumuua mwanajeshi mmoja.Rwanda, congo na mataifa mengine yameafikiana kuunda jeshi la pamoja kujibu mashambulizi hayo mashariki mwa congo

source.bbc

TANZANIA PROBES IRAN OIL TANKERS RE-FLAGGING ALLEGATIONS.

Leave a comment


Tanzania is seriously investigating allegations that it re-flagged Iranian oil tankers in defiance of sanctions.
A US congressman alleged last week that up to 10 Iranian oil tankers had been re-registered in Tanzania.
But the East African nation’s foreign minister said so far there was no evidence to suggest this was true and he appealed for help with the probe.
The US and the European Union have just tightened sanctions on Iran over concerns about its nuclear programme.

Picha 13 za Ali Kiba akiperform kwenye Miss East Africa Belgium

Leave a comment


photo by Lilian N

UK KUIVAMIA SYRIA

Leave a comment


Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa ndege za kivita za nchi hiyo zimejiweka tayari kuishambulia Syria.
Gazeti la Daily Star limeripoti kuwa ndege za kivita za Uingereza ziko katika maandalizi kamili iwapo Uturuki itaamua kuishambulia Syria katika kulipiza kisasi kutunguliwa ndege yake huko Syria. Serikali ya Syria ilitangaza Ijumaa iliyopita kuwa vikosi vyake vya ulinzi viliitungua ndege moja ya Uturuki aina ya Fantom kwa kosa la kuingia katika anga ya Syria kinyume cha sheria. Hii ni katika hali ambayo Rais Abdallah Gul wa Uturuki siku moja baadaye alikiri kuwa ndege hiyo ilikiuka anga ya Syria.
Wakati huo huo ripoti nyingine kutoka Uingereza zinaarifu kuwa wapinzani wa serikali ya Damascus wanapatiwa silaha na vile vile kupewa mafunzo na Uingereza. Katika ripoti yake ya hivi karibuni gazeti la Daily Star limefichua kuwa idara maalumu za anga za Uingereza SAS na maajenti wa M16 wako nchini Syria kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wapinzani wa serikali na pia kuwapatia silaha.

are they really the Topiest Richest People In Tanzania??? please put your comments about that

Leave a comment


1. Said Salim Bakhresa

Who is Said Salim?
Said Salim Awadh is the founder and chairman of the Bakhresa group f companies in Tanzania. He is an industrialist, philanthropist and entrepreneur who has created a successful business empire consisting of several companies in only three decades.

How wealthy is Said Salim?
Said Salim is undoubtedly one of the richest people in Tanzania. His business empire is vast and has operations in Tanzania, Mozambique, Uganda and Malawi. Some of said Salim’s wealth include

• Azam grain milling
• He has also invested in passenger sea transportation
• Sale and marketing of plastic packaging materials
• He also has vast interest in the food and drinks industry.

2. Aziz Abood

Who is Aziz Abood?
Aziz Abood is also one of the richest men in Tanzania. The Tanzanian tycoon has invested in many sectors of the economy like passenger transportation, information and communication (owns tv and radio station), food factories and truck manufacturing company.


3. Nasoro (Superstar / Super-doll)

Nasoro is also a rich Tanzanian who has made massive investments. The economy of Tanzania is incomplete without the mention of Nasoro’s businesses. Some of the businesses Nasoro owns include;

• Real estate properties
• Passenger transportation (superstar buses, royal buses)
• Logistics (doll trailers)
• Also owns a considerable number of shares in Mtibwa sugar company.

4. Mohamed Dewji

Mohamed Dewji is yet another rich person in the republic of Tanzania. Dewji has a sizeable number of investments and businesses ranging from factories, commercial and residential properties and shares in many of the leading companies in Tanzania.

5. Reginald Mengi
Reginald Abraham Mengi is a well known Tanzanian industrialist, entrepreneur and media mogul. Mengi is the founder of IPP Group which is one of the region’s biggest privately owned companies. The company has its base in the city of Dar es Salaam. Other than the IPP Group, Mengi also has interests in;

• IPP consulting company
• Coca-cola franchise holder (Bonite bottlers and Kilimanjaro spring water)
• IPP Media which comprises of the Guardian, Alasiri, Nipashe, independent, kasheshe, ITV, EATV, sky fm and the east Africa radio.

6. Michael Ngaleko

Michael Ngaleko is also among the richest people in Tanzania. He is believed to own a considerable number of shares in some of the biggest companies in east Africa. He also has an interest in Precision air which is a regional airline that specializes in passenger and cargo transportation in the east African region.

7. Fida Hussein (Africarriers)
Fida Hussein is yet another of the richest people in Tanzania. Some of the businesses associated with this business personality include;

• Africarriers,
• Commercial and residential properties including raha and Zahra towers.

8. Yussuf Manji
Yussuf Manji is another of the top richest people in Tanzania. He owns substantial interest in some of the largest companies in the region and is believed to be worth hundreds of millions of Tanzanian shillings. He has invested in properties (both residential and commercial), the auto industry and he is also the founder of the Quality Group.

9. Nazir Mustafa Karamagi

Rounding up of our top richest people in Tanzania is Nazir Mustafa Karamagi. He is a successful businessman believed to be worth hundreds of millions of shillings. He is the owner of the famous Tanzania international container.

Apart from the above mention people, honorable mention also goes to the following individuals who are also believed to be among the richest in tanzania

• Edward Ngoyayi Lowassa
• Mohamed Aboud
• Tarimba Abass
• Philemon Ndesamburo
sources;kenyaentrepreneur

Older Entries

%d bloggers like this: