Home

Precision Air launches new website, embarks on social media campaign

Leave a comment


Dar es Salaam – July 24th, 2012. Precision Air-Tanzania’s leading airline has today launched its new company website and embarked on a social media campaign, which aims at improving relations with its customers as well as sharing important information with its publics in an efficient manner.

Speaking via YouTube in Dar es Salaam Precision Air’s Acting Commercial Director Mrs. Lilian Massawe said that the new website was specially designed to be user-friendly for customers and suited with all information necessary about the company, as well as state-of-the art features to accomplish their travel plans.

“Among the special features that we have added unto the new website is information about all our 16 destinations as well as an Internet Booking Engine that will enable customers to book and play online with their Master or Visa credit cards,” said Mrs. Massawe.

The website www.precisionairtz.com also comes with an electronic customer feedback form, which will allow the company to get direct and valuable feedback from customers wherever they are in the world.

Meanwhile, the airline has also launched a social media campaign on Facebook, Twitter and YouTube so as to go with market trend of having an online presence, as well as an interactive setting with clients.

“Our online social media campaign therefore aims at increasing our company’s trustworthiness, good will and direct engagement with our customers. We also believe this will generate a highly powerful traffic for our new website as well as discover our customers’ preferences online,” said Precision Air’s Corporate Communications Officer, Amani Nkurlu.

“We would like to welcome all our supporters to like our Facebook page www.facebook.com/PrecisionAirTz and follow us on Twitter via www.twitter.com/PrecisionAirTz and get a chance to win wonderful prizes from Precision Air,” Mr. Nkurlu added.

In 2011 the airline launched an Internet Booking Engine known as Click and Fly aimed at making bookings easily accessible and payable through credit cards transactions. Year 2010 also saw the launch of PW-SMS, a product which enables a passenger to inquire ones flight up-dates simply by the push of the button on ones mobile phone.

Precision Air currently offers the widest connections to all major towns in Tanzania including Mwanza, Bukoba, Musoma, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Zanzibar, Mtwara, Dar es Salaam. Regionally, the carrier flies to Nairobi and Mombasa in Kenya, Entebbe in Uganda, Hahaya in Comoros, Lusaka in Zambia, Lubumbashi in Congo DRC as well as Johannesburg in South Africa. Plans are underway to conquer more destinations in the SADC region and further afield.

Issued by the Corporate Communications Office

Tel: 0786 404 010/0712 223 839

Leave a comment


Kindly visit this link of ChannelOTV and support New Tanzania Rapper-JanB by a THUMB ”LIKE” and SHARE this link to your BLOGS, WEBSITE, SOCIAL NETWORKS like twitter and facebook to let the public know about Tanzania Talents doing music in international level. Here is the link: http://channelo.dstv.com/2012/07/new-music-video-pretty-girl-2/

Albino Fulani afikiria kuwafanyisha tour MwanaFA na Fid Q

Leave a comment


Rapper na mtetezi wa haki za watu wenye ulimevu wa ngozi, mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya Afrobino, Babu Sikare aka Albino Fulani, jana amegundua kuwa kuna biashara nzuri ukiwaangunisha Fid Q na MwanaFA kwenye ziara ya pamoja kipindi hiki.
Albino Fulani ameligundua hilo baada ya kuona jinsi wimbo wa MwanaFA aliomshirikisha AY na Dully Sykes uliyotoka mwezi uliopita ‘Ameen’ na wimbo wa Fid Q akiwa na Yvonne Mwale, ‘Sihitaji Marafiki’ zinavyojadiliwa na watu kwa utunzi wake.
Ni kweli kutokana na utunzi uliotukuka wa nyimbo hizo za manguli hao wa hip hop nchini, mashabiki wao wamekuwa wakiandika baadhi ya mashairi ya nyimbo hizo kwenye Twitter na Facebook na kuwapongeza kwa kufikiria mbali.
Uzuri zaidi mjadala huo kuhusu nyimbo hizo unaendelea hadi leo na watu hawachoki kuwapongeza.
“Soo happy to see that the most talked about musicians at this moment ni watu wangu wa karibu,Fid Q and MwanaFA #Honored Niandae #Tour4Two?” Albino Fulani alitweet jana.
Kwa upande wake wa Fid alijibu kwa kusema: Good idea.. Huku #KeepTheGoodMusicAlive kule *bring the #DarkWarriorMusic.
Naye MwanaFa alikubaliana na idea hiyo kwa kujibu, “Hahaha… ni food for thought my brodda!!”
Kama kweli kukiwepo tour ya nchi nzima ya wasanii hawa wawili wanaoheshimika kwa uandishi bora wa mashairi ya hip hop nchini, basi tutaifananisha tour hiyo na ile inayoendelea sasa barani Ulaya ya ‘Watch The Throne’ ya Jay-Z na Kanye West.
Swali tour yao itaitwaje? Keep the Good Music Aive Tour, Dark Warrior Music Tour ama Mwanza Meets Tanga Tour? Any suggestions!!!
This will be a sellout tour, no doubt about that. Think fast guys and go get that money!

source:bongo5

Camp Mulla wajiunga na kampeni ya kupambana na njaa Africa Magharibi

1 Comment


Kundi la hip hop la nchini Kenya, Camp Mulla limeungana na kundi maarufu la duniani la muziki wa rock kutoka Uingereza Coldplay katika kampeni ya shirika la umoja wa mataifa la Oxfam ya kupambana na baa la njaa kwenye eneo la Sahel, Afrika Magharibi.
Camp Mulla ambao hivi karibuni walitajwa kuwania tuzo za BET, wameamua kutumia umaarufu wao walioupata kwa haraka duniani kwa kujihusisha na masuala ya kibinadamu.
Katika kampeni hiyo mwanamuziki wa Nigeria Ice Prince naye ameungana na Coldplay pamoja na Campmulla.
Karibu watu milioni 18.4 wanadaiwa kukumbwa na uhaba wa chakula,huku milioni 6 wakiwa hawana kabisa chakula.
Coldplay, kundi ambalo bila shaka kwa sasa ni kubwa zaidi la rock duniani limekuwa mstari wa mbele kuliangalia suala la njaa huko Sahel, eneo linalojumuisha nchi nane kuanzia Chad hadi Senegal.
Ice Prince aliandika kwenye mtandao wa Twitter kuhusa majukumu hayo na kuahidi kutoa support; “As a West African Artiste, I’m really glad to be supporting the @Oxfam Beyond BET: Sahel Hunger crises!! We want change!”
Kwa mujibu wa shirika la kuhudumia watoto duniani,Unicef zaidi ya watoto milioni moja walio chini ya miaka mitano huko Sahel wanakabiliwa na utapiamlo mkali.
Kutokana na njaa hiyo, wakulima wapo njia mpanda kuhusu kula ama kuzitunza mbegu zao kwaa ajili msimu ujao wa kilimo, huku wengine wakianza kula matunda mwitu.

source:bongo5

Chris Brown alaumu media (vyombo vya Habari)

Leave a comment
STAA Chris Brown amesema vyombo vya habari vimekuwa vikipotosha ukweli kuhusu ugomvi uliotokea hivi karibuni kati yake na rapa Drake.
Brown alisema vyombo vya habari vimekuwa vikielemea upande mmoja bila kutaka kuchunguza ukweli wa ugomvi huo.
“Ninasikitishwa na jinsi vyombo vya habari vinavyoripoti hili jambo, hakuna anayejua ukweli wa ugomvi ule zaidi yangu mimi na Drake, kwanini hamuulizi mnaandika tu?” Alihoji Brown katika mtandao wa twitter.
Pamoja na kuvilaumu vyombo hivyo, pia anamtupia lawama, Drake, kuwa ndiye aliyeanzisha ugomvi huo kwa kurusha chupa hewani.

Picha 22 za Maisha Kim Kardashian kabla hajawa Maarufu na Baada ya kuwa Maarufu pamoja na Baadhi ya boyfriend wake

1 Comment


akiwa Mtoto

Kim Kardashian akiwa High School 1995

Kim akiwa kwenye Vocation

Kim Kardashian akiwa kwenye Senior Year Dance, Marymount High School (1998)

kim Kardashian na Familia yake

KIm Kardashian akiwa anapiga picha za PLay Poy

Kim akiwa na Boyfriend wake wa zamani Reggie Bush

Kim na Mama yake akiwa maabara anakagua Perfum yake

Dada zake Kim Kourtney na Khloe wakiwa wana documentary

Kim akiwa anasherekea miaka yake ya kuzaliwa akiwa na timiza miaka 30

Kim Kardashian akizindua Perfume yake June Mwaka jana

Familia ya Kardashian

Khloe Kardasian, Kylie Jenner, Kris Jenner, Kourtney Kardashian, Kim Kardashian, and Kendall Jenner attend the Kardashian Kollection Launch Party at The Colony on August 17, 2011 in Hollywood, California.

Kris Humphries akiwa mdogo, ambaye n mpezi wa zamani wa Kim

Kris Humphries akiwa high school

kabla hawajakutana

Kim Kardashian na Kris Humphries wakiwa Monaco, 2011

Kim Kardashian Galipo mwagiwa unga kwenye Red Carpet, 2012

Kim Kardashian’s New Beau Kanye West: Celebrating a Birthday

Kanye West Stylin’ akiwa Elementary School ambaye sasa ni mpenzi wa Kim

Kanye West’s Senior Yearbook Photo, Polaris High School, Oak Lawn, IL, 1995

New Lovebirds Kim Kardashian na Kanye Westwakiwa wanaenjoy game ya Lakers

Mcheza sinema wa Marekani, Deidre Lorenz atua mjini Moshi na shauku kubwa ya kuona kama kweli mlima Kilimanjaro uko Tanzania!

Leave a comment


Deidre Lorenz na Rais wa IBF-USBA bala la Africa, Masharini ya Kati na Ghuba ya Uajemi Onesmo Ngowi.


Mcheza sinema toka Marekani Deidre Lorenz amewasili mjini Moshi tayari kushiriki kwenye mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika juni 24. Lorenz amwasili leo na ndege ya Ethiopian Airlines ambao ndio wafadhali wa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon zinazofanyika jumapili ya mwisho ya mwezi wa sita kila mwaka.

Ujio wa Lorenz ambaye amecheza sinema nyingi zikiwamo Santorini Bule, Perfect Strangers, The Big Fight umeleta msisimko mkubwa katika mji huu mkuu wa Kilimanjaro. Ujio wake umefuatia matayarisho ya muda mrefu ambayo yanaendana na hadhi yake.

Akizungumza na waandishi wa habari waliofika kumshuhudia mcheza sinema huyu, Lorenz alisema kuwa ameisikia kuwa mlima wa Kilimanjaro uko Kenya kwa kwa muda mrefu na ana furaha kubwa sana ya kufika ili kushughudia kuwa mlima huu maarufu duniani uko Tanzania. “Nimekuwa nautangaza sana ujio wangu kwenye blog na tovuti yangu, wapenzi wangu pamoja na watu wengi wanangojea kurudi kwangu nikawaambie niliyoyashughudia” alisema Deidre Lorenz ambaye ameshawahi kuteuliwa zaidi ya mara tatu kwa tuzo za Oscar. Lorenz alisema kuwa kwa miaka mingi alifikiri kuwa mlima Kiliamnjaro uko Kenya kwa jinsi nchi hiyo jiraniminavyoutangaza nchini Marekani.

“Sasa nimeona mwenyewe kwa macho yangu kuwa kweli mlima (Kilimanjaro) huu maarufu duniani uko Tanzania na sio Kenya” alisema Deidre Lorenz ambaye anaishi kwenye jiji la New York City linalofahamika kama jiji la pesa (International Financial Capital) la kimataifa. Lorenz ameshukia katika hoteli ya Bristol Cottages iliyopo karibu na benki ya Standard Chattered mkabala na bustani ya Manispaa ya Uhuru Park.

Older Entries

%d bloggers like this: